1 Kings 15:18

18 aKisha Asa akachukua fedha yote na dhahabu iliyokuwa imeachwa katika hazina za Hekalu la Bwana na za jumba lake mwenyewe la kifalme. Akawakabidhi maafisa wake na kuwatuma kwa Ben-Hadadi mwana wa Tabrimoni, mwana wa Hezioni, mfalme wa Aramu,
Yaani Shamu (ambayo leo ni Syria).
aliyekuwa akitawala Dameski.
Copyright information for SwhNEN